Safari Mail ni soko kubwa la kidigitali la Watanzania linalowaunganisha wanunuzi na wauzaji kwa urahisi, usalama na uaminifu.
Kurahisisha biashara mtandaoni Tanzania kwa kutoa jukwaa salama, la kisasa na lenye fursa kwa kila mfanyabiashara.
Kuwa soko namba moja la kidigitali Afrika Mashariki linaloaminika na kila Mtanzania.
Safari Mail ilianzishwa kwa lengo la kuwawezesha wafanyabiashara wadogo na wakubwa kufikia wateja zaidi kwa kutumia teknolojia rahisi na ya kuaminika.
Anza kununua au kuuza kwa urahisi. Fikia maelfu ya wateja Tanzania nzima na Afrika Mashariki.